Kipato Drilling & Modern Mining Services
PML Licenses · Geophysical Surveys · Gold Deposits
Kuhusu Sisi
Kipato Drilling and Modern Mining Services imekuwa na vitaru vingi vya madini ambavyo vipo katika hali ya Application na Active. Geophysical Survey ilifanyika na vina viamba vya madini (Gold) vimethibitishwa. Sababu ya kuuza ni kwamba kampuni haina uwezo wa kuchimba vyote au kuendelea kulipa ada za Serikali vyote kwa wakati mmoja.
Mnunuzi anaruhusiwa kuja na Geologist wake ukahakiki uwepo wa Miamba kabla ya kununua.
Service Fee: TSh 200,000/=Tunafanya Geophysical Survey kwa kila PML ili kuthibitisha uwepo wa madini. Taarifa kamili inatolewa kwa mnunuzi.
TSh 8,000,000/= kwa kila PMLVitaru vyote vina nyaraka rasmi za Serikali. Mnunuzi atapata hati zote za PML na taarifa za Geophysical Survey.
Ukinunua malipo hairudishwiOrodha ya Vitaru
| S/N | Aina ya PML | Mahali | Bei Kwa PML | Hali |
|---|---|---|---|---|
| 01 | PML 10 Gold | Simiyu – Dutwa | Milioni 2 | Application |
| — | PML 10 Gold | Simiyu – Dutwa | Milioni 100 | Active & Shaft |
| 02 | PML 4 Gold | Mara – Bunda | Milioni 5 | Application |
| 03 | PML 23 Gold | Chunya | Milioni 2 | Application & Geophysical |
| 04 | PML 4 Gold | Tanga – Handeni | Milioni 2 | Application & Geophysical |
| 05 | PML 2 Gold | Tabora – Nzega | Milioni 50 | Application & Geophysical |
| 06 | PML 5 Gold | Kahama – Mwime | Milioni 10 | Geophysical Survey |
| 07 | PML 8 Gold | Singida – Ikungi | Milioni 2 | Geophysical Survey |
| 08 | PML 5 Gold | Lindi – Ruangwa | Milioni 2 | Application & Geophysical |